Afro -Remix

Afro afro mama oh oh

  • Afro afro mama oh oh
  • Mtoto wa sagana eeh mama
  • Salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokee
  • Nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
  • Popote walipo afro
  • Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
  • Nina wasiwasi mmh
  • Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
  • Uliniahidi afro
  • Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
  • Mbona sikuoni mama
  • Afro mama eeh yao
  • Mtoto wa sagana eeh eeh
  • Kaa ukumbuke eeh
  • Penzi hugeuka eeh
  • Leo kwangu kesho kwako mama eeh
  • Utanikumbuka eeh
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Let's listen to my solo!

29 6 1407

2023-10-16 16:36 samsungSM-A135F

Tangga lagu hadiah

Total: 0 4

Komentar 6