Kaa Nami

Kaa nami ni usiku sana

  • Kaa nami ni usiku sana
  • Usiniache gizani bwana
  • Msaada wako haukomi
  • Nili pekee yangu kaa nami
  • Siku zetu hazikawii kwisha
  • Sioni la kunifurahisha
  • Hakuna ambacho hakikomi
  • Usiye na mwisho kaa nami
  • Nina haja nawe kila saa
  • Sina mwingine wa kunifaa
  • Mimi nitaongozwa na nani
  • Ila wewe bwana kaa nami
  • Nilalapo nikuone wewe
  • Gizani mwote nimulikie
  • NUru za mbinguni hazikomi
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Let's listen to my solo!

26 5 1161

2023-10-12 16:47 samsungSM-A135F

Tangga lagu hadiah

Total: 0 10

Komentar 5