Shukurani

Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi

  • Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi
  • Hata uhai huu sikustahili
  • Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi
  • Hata nikiwa nasali unajua namaanisha
  • Sio kama eti nilitenda wema wakuja
  • Linganisha na matendo yako makuu mimi
  • Mungu ningekulipa nini
  • Ulikonitoa ni siri ya moyo matopeni topeni
  • Ukaniketisha na wakuu juu
  • Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
  • Hata shukurani zangu ni kwako
  • Shukrani zangu ni kwako
  • Na shukurani zangu ni kwako
  • Shukurani zangu ni kwako
  • Asante baba ooh
  • Ei ei ei
  • Ei ei ei
  • Ei ei ei
  • Aibu umefuta fedheha umefuta
  • Umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka
  • Nalia mimi ni yule ambae
  • Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha
  • Habari yake kuna kipindi nilikufa
  • Nikawa mifupa inayotembea
  • Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho
  • Ila kwa huruma uliniponya na kaburi
  • Kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
  • Wako ma
  • Shukrani zangu ni kwako
  • Na shukurani zangu ni kwako
  • Shukurani zangu ni kwako
  • Asante baba ooh
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Let's listen to my solo!

28 3 2072

2023-10-4 10:42 samsungSM-A135F

Tangga lagu hadiah

Total: 0 5

Komentar 3