Omba

Jethsamane Yesu Aliomba Baba mapenzi Yako yatimizwe

  • Jethsamane Yesu Aliomba Baba mapenzi Yako yatimizwe
  • Uokoaji yako na yangu kampa nguvu Akashinda
  • Jethsamane Yesu Aliomba Baba mapenzi Yako yatimizwe
  • Uokoaji yako na yangu kampa nguvu Akashinda
  • Nawe omba omba utafute Uso wa Bwana
  • Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
  • Dada omba omba utafute Uso wa Bwana
  • Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
  • Ndugu omba omba utafute Uso wa Bwana
  • Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
  • Mtafute Bwana Apatikanapo Umuite sasa Yukaribu
  • Asema bwana unapomuita hakika atakusikia
  • Mtafute Bwana Apatikanapo Umuite sasa Yukaribu
  • Asema bwana unapomuita hakika atakusikia
  • Nawe omba omba utafute Uso wa Bwana
  • Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Let's listen to my solo!

29 6 1472

2023-10-11 12:07 samsungSM-A135F

Tangga lagu hadiah

Total: 0 7

Komentar 6