Enjoy

S2kizzy baby

  • S2kizzy baby
  • Hii leo
  • Acha tu niwaweke wazi
  • Niwaweke wazi
  • Niwaweke wazi
  • Mubaki na mishangao
  • Kuhusu haya mapenzi
  • Nataka kuvaeleza
  • Na leo
  • Tena wahiteni paparazi
  • Warushe kwa mitandao
  • Siyataki mapenzi
  • Nataka jipongeza
  • Unaemwita your baby
  • Kumbe nae ana baby
  • Ooh unaemwona kipenzi
  • Ni mshenzi hakupendi
  • Ama kweli mtihani
  • Mambo mengi duniani
  • Na mi stress siwezi
  • Ooooh siwezi
  • Aahh
  • Bora ni enjoy mmmmmh
  • Maisha mafupi ni simple
  • Yanini niteseke roho
  • Jiunge nami upoze koo
  • Bora ni enjoy
  • Maisha mafupi ni simple
  • Yanini niteseke roho
  • Ooh yanini yanini
  • Jiunge nami upoze koo
  • Mmmh khoo khoo khoo khoo
  • Kama kupendaaa
  • Bora nimpende mama yangu mmmh
  • Kama kupendwaa mimii
  • Nitajipenda peke yangu ooooh
  • Kilichoniponza ufalaaa
  • Kujiona simba kumbe swalaaa
  • Kazama kwenye penzi uchwalaaa
  • Badala ya kusaka miamalaaa
  • Ail yoooo oh
  • Toka ni date pesa enhee
  • Sa napendeza enhee
  • Na tena naenjoy enhee
  • Na wanangu ma homeboy enhee
  • Ooooh account inasoma enhee
  • Na kamwili kananona enhee
  • We mwenyewe si unaona yani enhee
  • Ai nasema boraaaa
  • Bora ni enjoy
  • Kwiri pi pi pi pi pi pi
  • Maisha mafupi ni simple
  • Kirii ka dakitka
  • Yanini niteseke roho
  • Yanini niteseke rohoo
  • Jiunge nami upoze koo
  • Jiunge na mimi ah
  • Bora ni enioy
  • Kwiri pi pi pi pi pi pi
  • Maisha mafupi ni simple
  • Kirii ka dakitka
  • Yanini niteseke roho
  • Aaahh iveeeeiii ve
  • Jiunge nami upoze koo
  • Jiunge na mimi ah
  • Napenda nikilewa
  • Nipande juu va meza
  • Minjonjo
  • Huku natema kingereza
  • Tupande juu ya meza
  • Tupande juu ya meza
  • Tupande juu ya meza
  • Za za za za za
  • Bora ni enjoy
  • Kwiri pi pi pi pi pi pi
  • Maisha mafupi ni simple
  • Kirii ka dakitka
  • Yanini niteseke roho
  • Ooh yanini yanini
  • Jiunge nami upoze koo
  • Ooh khoo khoo khoo khoo
  • Kamix lizer
00:00
-00:00
View song details
Come to join my duet!

24 4 3445

2023-8-12 08:21 samsungSM-A127F

Gifts

Total: 0 16

Comments 4