Pawa

S2Kizzy baby

  • S2Kizzy baby
  • Kamusi namaliza kurasa kukusifia
  • Matusi naiona basata wakinifungia
  • Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia ah
  • Mjusi ukuta wa plasta na uparamia
  • Na kama penzi ni chupa la bia
  • Nipe sana niwe mlevi ni yumbe-yumbe njia
  • Kwa maana we mlezi na unanijulia
  • Hawana hawawezi pakukuibia dear
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Nilifeli secondary kwendaga chuo
  • Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
  • Yeremia mstari nifunue ufunuo oh
  • Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo
  • Na kama penzi ni chupa la bia
  • Nipe sana niwe mlevi ni yumbe-yumbe njia
  • Kwa maana we mlezi na unanijulia
  • Hawana hawawezi pakukuibia dear
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Pawa pawa naishiwa pawa
  • Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
  • Ka Mix Lizer
00:00
-00:00
Xem chi tiết bài hát
listen my solo and join

46 12 1

9-5 16:15 vivo Y93

Quà

Tổng: 0 0

Bình luận 12