Baikoko (feat. Diamond Platnumz)

Ayo laizer

  • Ayo laizer
  • Kako fine
  • Kila ninikaweka kwenye line
  • Bilabila
  • Shuwaini
  • Kwake nimelewa kama wine
  • Tilalila
  • Ye sisimizi nami gegedu
  • Tuna gegeduana
  • Nilivyo sina jinsi
  • Tajiri wa mbegu
  • Namuhonga na mwana
  • Baba mndenge mama mzaramo
  • Uno lake la kurithi
  • Kafunga tenge mwali chakalamu
  • Shetani mwana ibilisi
  • Jipuu jipu
  • Uchungu uchungu
  • Mwana nyuma umejaza
  • Kishundundu
  • Kwenye zipu zipu
  • Kuna kirungu kirungu
  • Usikamate utawaita wazungu
  • Eeh heeh
  • Babu mkuna nazi aah
  • Haah achutama kishinani
  • Na msuli wake upo wazi
  • Mambo yote hadharani
  • Go go go go goal
  • Mtoto anadaka
  • Goli kipa runya mira wabeja
  • Tena akikata anaitikisa sababu
  • Baby acha unachezaga baikoko
  • Unavyo baby baikoko
  • Unavyoinyonga baikoko
  • Eeh waonyeshe baikoko
  • Baby acha unachezaga baikoko
  • Unavyo baby baikoko
  • Unavyoinyonga baikoko
  • Eeh waonyeshe baikoko
  • Asa komesha dengua dengua
  • Baby dengua dengua
  • Ringa dengua dengua
  • Deka dengua dengua wakuone
  • Kanivua ndala miguu
  • Anataka nipite peku peku peku
  • Kunduchi juu anifikishe kwetu
  • Kwetu kwetu
  • Embu tamu ladha ya kitumbua
  • Rojo ya embe kibada kibadah
  • Hodari kunengua
  • Miuno ya ushubwada shubwadah
  • Nyuma kalisasambua
  • Kafungasha midabwada bwaadah
  • Anavyo tafuna mua
  • Ka kibogoyo dada
  • Katoto kamelainika kwala kwala
  • Kapo kama ndizi banana nana
  • Nitakapeleka kwa mama mama
  • Mama dangote
  • Kama kuku twakimbizana zana
  • Kana ibuka kana zama zama
  • Kamwili kana balaa na
  • Lana lana lana kazote
  • Ebooh mtoto anadaka
  • Goli kipa ronya mira wabeja
  • Tena akikata anaitikisa sababu
  • Baby acha unachezaga baikoko
  • Unavyo baby baikoko
  • Unavyoinyonga baikoko
  • Eeh waonyeshe baikoko
  • Baby acha unachezaga baikoko
  • Unavyo baby baikoko
  • Unavyoinyonga baikoko
  • Eeh waonyeshe baikoko
  • Asa komesha dengua dengua
  • Baby dengua denguagua
  • Ringa dengua dengua
  • Deka dengua dengua wakuone
  • Kama anaifata
  • Anaima anainuka mwali anaifuata
  • Kwakujishebedua
00:00
-00:00
Xem chi tiết bài hát
Let's listen to my solo!

38 6 6556

7-28 19:52 vivo Y93

Quà

Tổng: 0 8

Bình luận 6