CINDERELLA

Yeah yeah

  • Yeah yeah
  • Mara ya mwisho mimi na wewe
  • Kuonana kipindi kile twasoma
  • Shule ya msingi kigoma
  • Yeah yeah
  • Najua ulinipenda
  • Ila hukutaka penzi kulilinda
  • Ungesema mapema
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliniyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjua jina
  • Aitwa Cinderella
  • Rudi home wewe
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nishaoa
  • Ulinitesa sana
  • Sababu nilikupenda wajua
  • Kijijini kwa bibi Kigoma
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliniyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjua jina
  • Aitwa Cinderella
  • Rudi home ww
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nishaoa
  • Hakuna ajuae rangi ya kinyonga
  • Zaidi ya yeye mwenyewe na muumba
  • Nami nakujua wewe huwezi ringa
  • Baby baby
  • Nakuona u mnyonge sana
  • Nami nilikuwa hivyo kule kigoma
  • Usilie kwa uchungu bwana
  • Imekutachi sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliniyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjua jina
  • Aitwa Cinderella
  • Rudi home wewe
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nishaoa
  • Ulinitesa sana
  • Sababu nilikupenda wajua
  • Kijijini kwa bibi Kigoma
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliniyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjua jina
  • Aitwa Cinderella
  • Rudi home ww
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nishaoa
  • Uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka
  • Kadri siku zilivyozidi baby
  • Ukanitesa
  • Mami mara uko bize mami
  • Mi mshamba wa mapenzi
  • Si ndo wakashare nami
  • Kila ninapokuona ninapokuona
  • Moyo unazima nakumbuka tu Kigoma
  • Nakosa raha mwenyewe si unaniona
  • Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
  • Mi nachoka haki ya mungu
  • Ingawa ni gani kiasi baby najua
  • Machungu
  • Ningetaka kuwa nawe
  • Ningetaka kuwa nawe
  • Ningetaka kuishi nawe
  • Ila tu mm nimeshabaini
  • Yeah
  • Hiyo ni true mami true mami
  • Nishampata mwingine ambaye
  • Anayenifaa
  • Yeah
  • Ulinitesa sana
  • Sababu nilikupenda wajua
  • Kijijini kwa bibi Kigoma
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliniyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjua jina
  • Aitwa Cinderella
  • Rudi home ww
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nishaoa
00:00
-00:00
查看作品詳情
want fun... ? listen to my Solo

130 11 1

2020-3-23 10:38 samsungSM-A750GN

禮物榜

累計: 0 12

評論 11