Kuliko Jana

Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu

  • Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Nakuomba mungu awasamehe
  • Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
  • Na maadui wangu nawaombe maisha marefu wazidi kuona ukinibariki
  • Ujue binadamu ni waajabu sana
  • Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
  • Ujue binadamu ni waajabu sana
  • Walimsulubisha yesu messiah bila kusita
  • Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea
  • Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooh oooh yeah
  • Wewe ndio nategemea amen kufa kupona baba nakutegemea oh oh
  • Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea wewe ndio nategemea
  • Wewe ndio nategemea kufa kupona ndio nategemea eh bwana
  • Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea eh maisha yangu yote
  • Wewe ndio nategemea kwa nguvu zangu zote kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea
  • Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooooooh
  • Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Yesu nipende leo kuliko jana
  • Wewe ndio nategemea wewe kufa kupona baba nakutegemea wewe
  • Chochote kitanikatsia uh huh kuingia binguni utaniondolea
  • Wewe ndio nategemea oooh kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea
  • Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea
  • Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
  • Ananipenda leo kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Kuliko jana
  • Nipende leo kuliko jana
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Another song in Kiswahili !

26 7 5208

2021-7-11 22:14 iPhone XR

Tangga lagu hadiah

Total: 0 9

Komentar 7