Tujiangalie

Barua toka Jaramogi na kenyatta

  • Barua toka Jaramogi na kenyatta
  • Wanauliza kama Kenya kuko sawa
  • Nikawajibu Kenya tuko na disaster
  • Watoto wetu wanazidi kuzikana
  • Na Tom Mboya ameshika tama
  • Alituacha kama angali kijana
  • Je angekuwa mambo
  • Yangekua sawa
  • Ndivyo alivyopanga maulana
  • Deni mlizowacha bado tunalipa Tunalipa
  • Na tumekopa zingine china
  • Tukajenga reli pia barabara
  • Zilizobaki watu wakasanya
  • So
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Sikio la kufa halisikii dawa
  • Tuko kwa twitter tuna jibizana
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
  • Tusake zetu
  • Tungali vijana
  • Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer
  • Kushoto fungu la kumi
  • Sadaka kulia
  • Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa
  • Anakula sacramenti
  • Kabla ya raia
  • Siku za mwisho zime shawadia
  • Na revelation inatuambia
  • Hii generation inachoma picha
  • Ni generation yetu
  • So
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Sikio la kufa halisikii dawa
  • Tuko kwa twitter tuna jibizana
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
  • Tusake zetu
  • Tungali vijana
  • Michuki alisema tufungeni mikanda
  • Ona leo twavuna tulicho panda
  • Kura zetu zilitugawanya
  • Makabila na pesa pia tulimanga
  • So when you make your bed oh
  • You lie on it ohh
  • Usingizi gani tumelala
  • Tuta jua hatu jui
  • Vision 2030 itabaki ni story
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Sikio la kufa halisikii dawa
  • Tuko kwa twitter tuna jibizana
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Tuko pabaya leo kuliko jana
  • Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
  • Tusake zetu
  • Tungali vijana
  • Mdosi aliniambia
  • Freedom never comes for free
  • We vote tribe ama real cash ask Boni
  • Tuna roho mahali hamwezi
  • Ita GSU plus doggy
  • World mzima twitter
  • Kot ndio first body
  • Burn picha si ni waafrika
  • Black coffee Annan
  • I'm richer than my neighbor but we both in the slum
  • If the rich always win then
  • Why should the popular run
  • Unless democracy ni word si usema
  • Only for fun
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Uh na hii weekend tuko church
  • Tunauza sura kabisa
  • Post ya haga
  • Huenda poa sana na
  • Caption ya scripture
  • Kaa hiyo gospel
  • Pitisha bag ya sadaka kwa club
  • Tujiangalie Tujiangalie
  • Uh traffic madrug ubuy ndai
  • Traffic mandai zinadrag
  • Ku admire mwizi amemake it
  • Story za shamba wamegrab
  • Mkono nahonga imevaa
  • Bracelet ya colors za flag
  • Yeah
00:00
-00:00
Lihat rincian lagu
Let's listen to my solo!

31 3 4886

2023-12-2 18:55 samsungSM-A236E

Tangga lagu hadiah

Total: 0 4

Komentar 3